(material ni poko)king of rap ft vannie bea

0:00

wangapi wanapenda kungata kama nko busy ni janta kama unadai utapata sipendi kuchocha saana buda material ni poko wacha vituko majonjo Kama si rap nadai ma feature nipate na breader gari ni jina buda bakisha King ni bazu anataka madeal apendi kuchocha sana kama ni gari ye ucheza na rangii unadai kanguna mazishi mbona unalala kanenge buda unaringa na ngoko sikufichi walae ni poko kama unadai hizi mariba nijenge ma popcorn troi imefura kwa mbosho mbona unapenda kuchocha unipee mariba za uongo natena unifichi manzi yako semenya ye uringa na doshi wewe unapenda semenya mi uringa na soshi mbona unipee kiwera kikubwa na buda sichoki kama ni form inajipa mbona nikose mi ukulenga daily we upata mikosi atuwezi cheza ki mbogi we ufunga keroma mi ufunga maombi verse ni ngori mi ucheza ki OG wangapi wanapenda kungata Kama nko Busy ni janta kama unadai utapata sipendi kuchocha saana buda material ni poko wacha vituko majonjo vani na King mistari Ni kali wao ukula ma ryme jaba manjoti we ukula madem huku dimanga nasaka fame

4 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

5 years ago

this ones really nice.

1
5 years ago

@sacinta #TmHorror

🔥🔥🔥🔥🔥

User avatar
1.17k
Total plays
104
Followers
75
Following

You may also like