Isaiah Mkondya

freestyle shamba

Isaiah Mkondya
freestyle shamba

53 Plays

20 days ago

Me ni moto zaid ya volcano Nakimbiza kwa michono Jinsi navyo chana mpaka Wana data nawazima data na tikixa kichwa Si tumii panga watu nakipanga Wana panga mikakat kuingia Kati sema kam hamtaki Unapenda mate na haupigi Mswak Battle hamuwez labla mje Kundi nauyo ndugu yenu Ambaye ana jiita maufund Niwatie gundi mna pga Xan ngenga iv bad hamkui Unijui ckujui una nivimbia Ety me na we n mahadui Embu ondoa uxhamba Kabla cja fika apa nilienda kwanza xhamba Msilete utata ratataaaa Me naxaka 2 chapaa One day nitaota mbawa nita paaa Hakuna siri kwan siri ya demu wako Anayo bodaboda wake Kubabake una penda dem Huna hela ulia hakup game We ni shem una jisifu unao Wengi we nyang'au Uta kuchunwa mpak nguo ya ndan We ndo baba we ndo mama Ulitak we pamban Kutafuta wako ujan Me nixha kula toka jan Iyo nyama acha kuzubaa Kua mjanja naweza fanya Nita fanya ata fake ili mamb Yawe frexh kudadek snich kwetu Cyo mwana we zingua Tukupige panga

8 Comments

Leave a comment

6 days ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

7 days ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

Keep grinding ✊ Bars: Can improve 👏 Delivery: Can improve 👏 Impression: Can improve 👏

You may also like