NGORY
maisha ningory we bro webisha no worry ni pro Natisha ju jibu ni no fuliza niya ganji sio God injili ni Mona na hataitoke kibera Mombasa kilifi nahata itoke mandere wasani tuuze injili na walla sio Sera tusilazimu nahata kutumia mandenga tunajifanya na mwisho injili TWA Len ga eti Ku fata wakati na mwisho kufata agenda injili haifiki na kesho wasema wapenda we Kama hutaki funganya virago we kwenda panganga nimingi lakini hakuna kutenda we omba kwa Sana maana lazima kunayo kutendwa maisha ni ngory we bro webisha nowory nu pro natisha ju jibu nu no fuliza Nita ganji sip God Niko na reason ya kila season Niko na Pasion na pia mission naleta ngoma sio maringo mlete daga mweke kwa shingo sipigi nduru we funga pingo maisha ni fupi mwisho ni shimo baba rubani na mm it in go maisha ni ngory we bro we bisha nowory nu pro Natisha ju jibu ni no fuliza niya ganji sip God mnakuja Kuleta vita mnachoma picha kwenye streats minabaki minaaigaika minashika kichwa sina mbele wala nyuma Mina tapatapa kutafuta sapa nikipata wale fala Mina chapachapa
You may also like

Leave a comment