stop discriminate the widows 😥♥️

0:00
0:00
stop discriminate the widows 😥♥️

Widows, wajane Jane x4 Nina umia, kwa ninayo onge a, jinsi wajane wanavoumiia, wanavodhurumiwa, na huku wameachiwa familia, waume ndo hivo washatangulia, hakuna wakuwatetea, wamebaki pekeao wanaziangalia, familia, wapweke Kama faranga aliepotea njia, na walimwengu wanawasema vibaya, hapo ndo wanazidi kulia, hawajuwi wapi wataegemea, japo MUNGU pekee huwaangalia, japo wachache ndo humtegemea, huwatetea, huwahepusha na Maneno mabaya, Kutoka kwa wakazi wa dunia, wenye sura za kusaidia, ndani wana roho baya,.

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
490
Total plays
90
Followers
105
Following

You may also like