KIBUNDA mini freestyle

0:00
0:00
KIBUNDA mini freestyle

mishe mishe kitaa naona wanashangaa/ tunazidi kupaa like airplane/ mwendo wa kubum kubam/ Tuna hang kistar life no complain/ napiga kazi nishakaza buti/ level kama ngazi get your sit/ ndani watu shazi nimetinga suti/ jasho lishakata nina look good/ juu ya meza mazaga zaga/ chuchu saa sita watoto wa kitanga/ wenye nude pose mida ya wanga/ wanatupeti peti si washaona kibunda/ ndani ya club bang si ndo tunatamba/ mashine ishatema tukitaka utalamba/ jicho nyanya nishavesha mazee/ ma Hennessy waiter tutembezee/

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
2.19k
Total plays
126
Followers
58
Following

You may also like