FORM_K.O.R ft iceboom
leo niko moshi nazivuta niko zero na mbogi hiko odi yaani zile zama rechot tenje iko fiti yaani kwila ako ritho hii doba hikizima nazitoka mi ni dingo chunga kulalisha na msupa amejipa anadai tu kejani niamini mi nani nakuja boloyeng msupa anaweng anadai hizi miti na atoke akimbunya kama niko fiti na msupa kuna form kama niko ndethe na kingali kuna chom kama niko miti nazitoka kuna boom leo kuna form leo kuna form leo kuna form kama niko fiti na msupa kuna form kama niko ndethe na kingali kuna form kama niko miti nazitoka kuna boom leo kuna form leo kuna form leo kuna form stingo ni za kevo Na karo ako single kama ni kishanda joo buda niko deport sura pararaa joo kama una rincles toto anaringa na sura ana pimples handas juu ya wada kama niko ritho vile nimenyanya nimechocha mpaka zero fom ni kundunda juu buda ni kumingo katoto kako fiti juu leo ni kifimbo alafu zikishika juu buda ni kiwimbo kama niko fiti na msupa kuna form kama niko ndethe na kingali kuna chom kama niko miti nazitoka kuna boom leo kuna form leo kuna form leo kuna form kama niko fiti na msupa kuna form kama niko ndethe na kingali kuna form kama niko miti nazitoka kuna form
You may also like

Leave a comment
See track description ↑