check it
0:00
0:00
watabeng kila kona mikirusi ka corona nafany miujiza kibao maadui zangu wanapata homa kwakitabu unanisoma follo list kama roma sipigi maxhuti ni kona makoloni watakoma ukali ni mm narapa ni mm Mkali nyongo Mkalia ini wapenapend mapini nawapa tisini leteni mapepo leten majini mistar sibuni inatoka kapuni mnataka utani kelele za nini mapepe kibao mizan sipimi nakaz mikazo kama amri za dini
You may also like

Leave a comment
See track description ↑