REAL LIT _RIP MAGUFULI

0:00
0:00
REAL LIT _RIP MAGUFULI

Magufuli ume ondoka, ume iacha bongo.na taarifa zime fika, tuna hisi uwongo.Ume ondoka we shujaa, na shujaa ni wewe. Kwenye shida kwenye raha,tuli kuwa na wewe.Nani ata liziba pengo vile kikamilifu,hapa kazi tu kazi yako acha nisifu.Watoto wana soma bure, Yote mapenzi yako! akuna gharama ya shule,yote mapenzi yako! Ni mangapi tuki sema baba uta tusikia,ume tuacha sii wanyonge tanzania ina lia. Baba ina uma roho, ka una weza we njoo.KWA JINA LA BABA NA LA MWANA, NA ROHO MTAKA TIFU.Mungu umlaze salama,baba etu mwaminifu. Amen.

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
80
Total plays
5
Followers
0
Following

You may also like