chagua gani

0:00
0:00
chagua gani

yooh aaah leo nimechill hapa niko lakini we jua machwom kadhaa... ni isaa tu na ni me kudecide hii ni alert mapema ndo uskuje shangaa zingine ruti kufika simple jo zingine balaa zingine hutake time zingine pap mara that kuna aina kadhaa lakini chunga short cut kuna panda na kushuka kuna nene nyebamba kuna za kushtuka kuna za kujibamba kumbuka kuvuka si rahisi kwanza kaza kamba one step at a time sa itisha ve unadai aai kisha head up ve itakuja utaiwai si rahisi ve unadhani kukafunga ndo ukafika uki check tena we unataka gani ka ni rahisi kuwa ready kuchuja ni mipango si ajali kuna ruti kadhaa ve utakuja we unataka tu kuskika kutengeneza jina kusahau pe umepita kusaka comfort pahali wengine wana vita na mtaani ni mashida umefunika gasia leo tulia skiza cheki pe umetoka sawazisha hii ni yako naandika na niko sure itakufika ka uko sober ka uko tipsy ata umefogodha yo na tena si ati aje ama aje skutishi. si ni mabradhee wengine mabeshete natuko ready kuenda sherehe ama mazishe we chagua twende gane na kwote kwote siko solo ni me kuchagua pe ntadai today na bado ni me kuchagua pe ntamkia kesho

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

User avatar
515
Total plays
102
Followers
125
Following

You may also like