dalmond. haters

0:00
0:00
dalmond. haters

Kama una wako basi cheza na mikoro msupa ako fine utadhani ni mchoro mi sina say ninabaki na michongo mistari ziko kali nazichana mpaka jana mafame wamebeng masela wanakata nafanya kuwacheki nikidara hz ndanda mastim zikipanda utadhani nko tanga Mi sikudis coz bado sija panda Kama una wako basi mshike kiuno baby nakupenda coz bado sina say mi niko nao wanadhani nimebliz kama unataka basi twende kejani mtaa ni makande na bado sijatoka maheters ni wanoko wanabaki kunidis mi sijivungi coz bado sina dhisi mahater watalaiki hata kama this mi niko nao wanadhani niko fiti mistari nazipanga utadhani niko fiti mi sijidai coz bado sina dai Kama unataka njoo tucheze ndai mangeli ziko kali utadhani nimesizi mi niko fresh na bado sijachizi Kama una wako basi cheza na mikoro msupa ako fine utadhani ni mchoro mi sina say ninabaki na michongo mistari ziko kali nazichana mpaka jana

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

1
User avatar
956
Total plays
185
Followers
251
Following

You may also like