nitaomoka tuh💸
niaje Xeta siku izi unatesa naskia uliomoka siku izi ukona pesa niaje buda bado unapiga kalesser (hahaha) ama bado umesota naskia aty manzi yako alileft ama ulikua unamdrive crazy hadi unapiga drift ama ni chuma huna ndo akashift kam twende hivi nikupee ka lift wananchi mnacheki vile mtu akitop anachukuliwa ita ref hapa mm nimetusiwa ata sijui ni nini nimeulizwa lakini haina worry nitaomoka tuh kwa sai acheni niwapee rap ndo niwabambe unatumia smartphone mi nikona kabambe kwenyu ni westi kwetu ni kule kule haina haja nlete makasiriko nisijiaibishe maybe mnasema niko mamoshi haters wako busy wananyonga doshi lakini mm hapa naplan kununua jet ndo nisibishane na hawa watu Wa mamoshi nitaomoka tuh,nitaoa tuh nitajenga tuh, nitaongoza tuh×2 Niko kejani nikingoja blessings zilandi Mungu wangu halali atanibariki nitashow off before nifariki na juu nimeokoka mi sitishiki sitishiki sishikiki siogopi siaibiki sina haya na huezi nifikia we ni mdosi lakini siezi kutambua mi ni Xeta ule mnoma kwanza ukiniwekea ngoma na ukereigwa mudu ajita ngomaaa nitaomoka tuh,nitaoa tuh nitajenga tuh, nitaongoza tuh ×2
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
cool