serious genius

0:00
0:00
serious genius

aaah yeah mbegu boy, dume la nyani mumy plz do cry just keep head up and better go hard nigga stand up wanasema washamlia hata kama wamekuacha king kong lafamilia master, mafia, power, ninja usilete mchezo baba angu ntakuchinja japo kaa police nuksi kam dic popo usingiz kweny shot never miss ruka ukipeta swing naona nyeta may i mpk wazee wanapga ngeta makofi shangilia ka fiesta R-kelly, Jay z remix ze better yaeh kiss kiss blue monday swali mpk sunday cash in now tunawapambe jilambe kaa umekula usahau umekula kande nenda kakunya na usichambe kong kong kong aaaaah wrap nigga kong kong kong aaaaah wrap nigga aaaah never dispoint on mbegu yaeh maneno ka billion laki billion mia tumbo kwenye shati cross border india U.S.A simu zinalia U.K ndio namchinjia DUBAI kafa ilala ndio tunamfukia shenzi ake sina uongo sina ukweli niko newtro niko mbali juu pembeni ya pluto king sitaki mbele iwe majuto GOD yes sifagilii vituko uchekeshi wakati unacheka mcharuko mbosso ama aslay cha mbosso izo ma nizo for shizo movie hizo sina sifa mpe dully ngumi van dizo bongo sinema maigizo majela, majidi, malulu maigizo kanumba wanafata predizo, predizo kong kong kong aaaah wrap ma nigga kong kong kong aaaah wrap ma nigga aaaaaah never dispoint on mbegu kong kong kazi kazi yeah

1 Comments

Leave a comment

See track description ↑

User avatar
401
Total plays
70
Followers
77
Following

You may also like