Mbegu boy a.k.a Dume la nyani
Mbegu boy a.k.a Dume la nyani

mr king kong freestyle session2

mr king kong freestyle session2

12 Plays

12 Oct 2020

yeah nimeanzia muziki kitaani but i thing mpk saiv deal deal done mana wengi wanarun nimeshika zao nyingi plan me saiv ndio mkali man wao mana nikishika maiki wanatetemeka kama wanacheza tetema oh mama tetema na midomoni mwao hawaishi kunisema ndio wakali wapo ila mbona siwaoni siwasomi check walivotulia kama wameshikwa na kichomi sasa bado haukomi kwa jinsi ninavokuchana kisomi lm husler ma nigga and ur better run couz lma monster wansema ninadomo kubwa couz nawameza na wengi washanikwaza sasa check ntakachowafanya mpk mashabiki watawaona hawana mana so fika ufikiwe shika ushikiwe acha uachiwe leta uletewe weka maiki uimbiwe ili kesho uambiwe ww sio mkali mm ndio mkali wenu na nyie wote ni wakina ebitoke tu check mnavotuka nduki kama mmekutana na bunduki ooooohmm nakulaga nyagi ili niwavalie wambuzi mamruki wanaopenda kushinda na speed ya mkuki

1 Comments

Leave a comment

You may also like