lm police man
0:00
0:00
yeah mbegu boy lm police man lm police man lm police man lm police man kazi yangu ni kulinda raia na mali zake na hakikisha raia wangu wanaishi kwa amani yeah nimejitoa muhanga na nimeapa kuitetea nchi yangu ya tanzania milele daima asa kwa wale wanaoleta bifu nahakikisha nakufa nao hata familia inajua kazi kua ni ya hatari hivi wewe huoni tu umuhimu wa polisi mtu anaacha familia yake analinda familia yako realy what a blessing ooooh japokua nchi yetu ni ya amani lakini hatutakiwi kujisahau sana kihivo mana hatuwezi jua kesho yetu japo kua tunaiombea sana nchi yetu tanzania iwe na amani miaka yote tangu alivomaliza legendary mwalimu julius kambarage nyerere.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑