Burn

0:00
0:00
Burn

na waburn burn na waburn burn na waburn burn na waburn burn na waburn burn yeah kila ninaposhika maiki marapa joto linawatoka kwa kuhofia tu eti niwaokota mana wanajua mziki wangu haushikiki kama chibu dangote kila wakiniona wanabonyea kama wanacheza yope au maua sama hiyo iyokote ooooh kila nikipita macho yao kodo kodo yani mpaka wanashikwa na mkoyo na kama umekubali basi piga salute sema yes sir mana najua wengi mtaani kwako wamekaa marapa wengi hakuna wanachoweka mana kila wakishika maiki wanabweka bweka

1 Comments

Leave a comment

See track description ↑

User avatar
401
Total plays
70
Followers
77
Following

You may also like