famous

10 Plays

β€’

09 Oct 2020

yeah mbegu boy another one oooooooh yeah ma niggaz mwanzo walijua natania ila hawakuja kua niljua niko serious na kipaji changu yapo kua mimi ni polisi ooooh kama ni maisha nishaishi maisha ya shida sana sana ila now on nachana kama niko new york city niggaz na bado mpaka saivi wapo ambao hawaamini kua mimi saivi ni famous niggaz oooooh ndio wakali wapo ila mbona wamepotea siwaoni kwenye air check ninavotembea na beat kama lily weezy kutoka young money cash money wale waliokua wasema mwanzo kua wao ni wakali wako wapi mbona siwaoni na wamekimbia wameogopa kuilamba yangu koni oooooh walizani natania check jinsi snea zinavokita mpka napandisha mzuka wakuwachana watoto wa mama ambaoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ wanajikuta wa ni ma hustler ila hawajui maisha na kama wangepita life nililo pita mimi basi saiv ningekua nimewavisha papers mana kitabu changu cha maisha kina many papers about my life niggaz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž

1 Comments

Leave a comment

You may also like