shida

0:00
0:00
shida

sina time uwe ju niwe chini wala mi hayanihusu nakuombea dua unaniona kuku sasa ngoja nichenjisuraa mbuzi niwe simba sikufagiliii ata kama unavimba tamba vimba ila ukiyakanyaga furaha kungruuu mana sioni huruma kumua nyani kwa kumuangalia nitapata shida zangu nitatatua mwenyewe af uone kams nitakuwa na kimbele mbele mwanaume jasho lake linadondoka mchangani chini dhahabu mali nitacjlhimba nitapata fungu langu ata likiwa 100

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

User avatar
1.91k
Total plays
78
Followers
35
Following

You may also like