mama1
MAMA 198 mama kanleta dunian,kaniweka kwake tumboni miez tisa bila kuhisi kichomi nilipo lia basi yey hunipa yake maziwa na kuniimbia nyimbo nzuri hata zile hadithi za njiwaa hakuchoka kunibeba Wala kunikweza kwa majirani. mwangalieni kidume changu roho yangu bila yeye nahisi kiza machoni mwangu nilipo goma kwenda shule mama alini force nikichelew rudi nyumbani moyoni hujawa na hofu, hakupend niwe mchafu hakupenda niwe dhaifu, alipenda niwe nadhifu kama mtoto wa mama chiku japo life lilikuwa duni, lakini tulizidi kumshukuru baba wa mbinguni ,nakuni hasa nisiwe muhuni bali nishike dini sometimes nakaa chini nawaza husia wake momy mwanangu kesho yako ipo mikononi mwako Leo mama nipo kesho sipo kumbuka wadogo zako,wajali ndugu zako shida yao iwe shida yako nikifikiria moyoni naumia but I say no joh fight more to make dor is easy bro
You may also like

Leave a comment
See track description ↑