FVCK _14-28
0:00
0:00
wanataka kushindana pasipo vigezo, watoto mmekuja jana leo mnapima uwezo, natangaza hali ya hatari kaa mbali tafadhali, punch heavy za kijeda nashusha kama tofali, i miss you haters karibuni kwenye thieta leo nawapasua mkileta za kuleta, mi sio staa, mi sio tozi mi ni dokta mwenye dozi, nawachoma kwenye flow mpaka wanatoka machozi, ni soo kimenuka michano ndio kila nukta, karibu kunidiss emcee unayetaka kufa, narun kila street naroll na kila beat, daima nasonga mbele kamwe siwezi kuretreat, this is the dangerzone no fly zone napoteza tu mawaki naposhika microphone, i m the best in this you can never compare, naleta mashambulizi wanashindwa kusogea,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
listen to my battle please if u can 🙏🔥🔥🔥🔥🔥