mabinti

15 Plays

10 May 2020

mi sina tatizo na mtu ila nataka niwachane kidogo tu hawa mabinti wenye vichwa kutu like what nawakilisha niggas who work hard you know tuna play hard we mek sure issue zinakuwa right ili end of the day tufurahi japo kuna muda mambo yanakuwa tite ni life sishangai sa vipi binti una nitega kwa naked titi unadhani ntapata kwikwi kwanza ndo wala sishtuki umetaka bussiness we mek an aggrement i told you i need this price then baada ya kazi unaleta gozigozi hey slay queen niangalie juu mpk chini im here for money boo na wala sitaki chini im here to demand mshiko unakuja juu kisa nimegoma kuona birkin sa yote ya nini hata mwanangu steve juzi kati alimvuta dem shati manzi kataka photoshoot anadaiwa laki steve anataka pesa basi dem kagomewa hongo hana bwax et we kk una macho mazuri mwanangu akamjibu is nothing nataka mkwanja ivo vingine mi sijui hahahahaha

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like