Naga Saki

Nagasaki-Rona

Naga Saki
Nagasaki-Rona

19 Plays

06 May 2020

Rona staki Ujinga yako (rona) Unafanya mi nashikwa tu na homa(rona) Unafanya nisitoke hadi kwa boma(rona) Unafanya unfanya nina konda(rona) Unafanya dry dry anaconda(rona) Corona ×4-hii mwaka tutaona zombie×4-hii mwaka tumekuwa tu ma zombie vitombi×4-na mashimo na porthole ju ya vitombi lockdown tunahitaji tu maombi hakuna ka jam session gachuna amejam ju ya lesson rona venye umecome wengine wameblueband wengine wamejam fare imepanda na bado kunajam vitambi zinapanda hakuna mahanjam birthplace wuhan Mabola mtazidi tu kunona msikiti zimefungwa machurch zimefungwa foota imededi wapi yule pedi zero kwenye bedi porn na majegi mfuko na mafegi all in all tunadedi

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like