Lorence Rocky
Lorence Rocky

ok my fallow I'm trying

ok my fallow I'm trying

9 Plays

25 Apr 2020

ok msolid again Yeah let's go together ok ok ok ok acha me ndo yule mc ninayependaga asali kwenye flow zangu sinaga cha zari ninapiga nina chapa hadi askari siopoa embu nipe wine tafadhari japo iniongezee vibe kiasi fulani japokuwa staki shari nikianza kuchana wote mnakaa mmnasikiliza ninavyo wa pakaa shoo zangu sio yani za kipapaa shoo zangu nizile za Ki babaa yes bhana siunasikia hata ninavyo chana watu wanasema dogo unajua sana nawaambia tulieni ndo kwanza ninaanza ok ok ok ok chaaaa ah ah ah ah ha gia gia gia now it's my time now it's my turn I wanna show some I wanna show some something like rap like a trap like a boom,boom like a gun like a king kong like a pin pon like a bulbe bum vile me nawakimbaz,nachapa nawapasulia mayai viza,wanajikuta wanakaa wanasikiliza,vile mi na rap,nachana,nawakimbiza,kwenye biti nateleza,mistar mingine sija meza ,we kuweza speed ya hatari ka diffender wanasarender,mrenda ohohohhhh

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like