josa

0:00
0:00
josa

narudi kwako baba unaFaa kuniAziBu kazi uLiyo niTuma sikushinda majaribu uliniPa uwezo Wa kuongea ukutaka niwe bubu nilienDekeza dunia nkajifanya mkutubu ulinipa mdomo vibaya nkautumia ulinipa mikono nkaTumia kukabia ELa nLizopaTa nkaEnda kunYwea ila Tumaini langu baba uTanipoke niLishinDa geto na wengi waToTo na nkapiTia msoTo sikujaLi kuja kwako nLienDekeza njaa sikukueshimu jaa ukaLeta balaa na leo nashinda njaa ulinipa wana ilA wana ni wanaFiki walileta umbeya mpaka nikajiona feKi kiss lako baba kwanGu ni kama FaTaKi ila nashukuru kw kunipa riziki

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
67
Total plays
36
Followers
14
Following

You may also like