ooh baba

0:00
0:00
ooh baba

naona kiza kimetanda naona picha zimesambaa naona ujinga unanibeba naona roho flani ndio bwana inafunga God almighty ooh baba we muweza nitoe kwenye shimo nisje mi nikapoteza naona wingu langu la baraka limefunga kwenye mwendo wangu naona kona ninayumba hi safar yangu naona uzima unanipinga kila ninachofanya akiend kinafungwa hard life more stress ujinga naona bado naona mimi siko safe more life no stress uzima upo kwako naona ndipo kuna safe life naona roho ya hasira inanipinga naona roho ya kibur inaniwinda Sina lakufanya nabaki ka mjinga najua neno lako ila mwili unanipinga roho ya maombi bwana kwangu imeondoka roho ya kukusifu bwana inaporomoka kijasho kinanitoka machoz yanadondoka nawaza pakutoka naona bado sio sawa kila siku zivyoenda naona nachachawa naona napagawa bangi naona dawa rohoni sio sawa uniokoe ii dhambi inanitesa

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
71
Total plays
31
Followers
21
Following

You may also like