CARTIZ | FREESTYLE 2020
0:00
0:00
"kutremble tremble, mimi na walk ka jaymo. fom nadai ya kuchoma na ngwai, bora ni si loose hio memo. weh flow na ma chicks, mimi huyo juu kama mwewe. kustep nitastep nothing to spend, bora nishike hio denge. kumess na sisi nika kumess na shiti born to trap born rap mimi huishi mashariki. niko fity na tena siko stingy ni virahisi kuwavuta kama bangi na simakali ndio isiweh tu ajali rada ni gani kwani hamni pati na kwa topic mistari niko toxic mpige hodi ni mimi yule ody ni mimi landi ni lazima mlipe cody nakama ungoji tupatane tu kwa koti " ah ...
You may also like

Leave a comment
you soak with rap
See track description ↑
Damnnnn 🌪️