man b j floo ukinisuch
0:00
0:00
yap yap you try to bring me down but am happy cazz am fine kilasiku na hurstle na hurstle billa mihaso ndomana kila day wananipa mipasho wakinicheki Niko na Doo wakahawna Doo nko fresh kila day Nina walipa maden no pain no gain chorus ukini such utnipata harakati haraka ukinisuch utanipata tu, pole pole ndio mwendo unajua mzaledo usipo jawa na upendo utjawa na scendle yote hayo niya Nini kwani mi sijiamini wanauliza nitarudi lini sa maswali yanini nikoharakati kusaka mikakati cazz hizi ndio nyakati tunaenda na wakati hizo zao zimepitwa na nyakati
You may also like

Leave a comment
See track description ↑