CarpL_15-29

0:00
0:00
CarpL_15-29

kamanda Niko tayari kwa heri ama kwa shari,mistari ninazo tema nitamu kama asali ,Nina Imani kwa Mungu sioni hatari vikwazo nishaviepuka viko kwa mbali,upendo wangu kimuziki umeshinda hizo pesa zako na Mali, yeah ni smutha Maniga toka miaka ya tisini kachaa pamba bado napiga ,japo wengi wananiiga nabaki kustand tall alone ka twiga,mchawi pole uliemwacha nyuma pumbavu amewachilia mafiga,me ndo legendary tafsiri sio siri mistari nayokariri nakiri itadumu kama kirikiri ,itabidi umeniazima heshima, Mungu amenijaza maarifa na hekima,hua sipambi kima,sifa tena za nini sikuihizi? nimeshakua MTU mzima ,namiliki nachovaa wakati nyii mnaazima ,nimeshafika smutha nyota zenu nazizima midomo mushafunga pia mmebaki kimya ,stimu mogokaa na kaya Kamshufna washa shada,kila mida Niko rada

1 Comments

Leave a comment

Author
7 years ago

See track description

User avatar
1.87k
Total plays
180
Followers
168
Following

You may also like