love

144 Plays

02 Jan 2020

ni miaka kenda rudi toka uwen wangu wa ndani aki ya nani u make me crazy pale unapo lala.kwangu kifuani usiwe kam tani ukankimbia ukanicha me gizani au yule sikudhani nilemtongoza kumbe kwa umalaya anaongoza nkamwona mzuri tena kigorii kumbe ndani ameoza ninapokuwa lonly i feel so dizzy tena crazzy ma bby take it easy mabishoo kitaan ni wengi kama inzi we njoo kwangu nkupe maujuzi kama yale ya juzi turuke wote viunzi toka degree mpaka phd i say come close na lako poz nkupe doz sio ya kichwa wala kikohoz

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like