king
mic check one two hivo ndivyo maniga nakam thru, toka v. o. I, me ndo matawai ya juu, mtazidi kula huu ni smutha mwaka huu utado,?! kwenye kipaza napakiza, fek mcees nawakimbiza, hadi wanarudi wakimbizi uliza Andree, kama wenirapa kizee usiniletee , hebu wacha kustama simama tema mistari kama unawezana, hatuko hapa kupimana , yeah hatuendelei ju ya utapeli na ufisadi mbona sioni miradi, viongozi mafisi wakishaona pesa wanashtuka nikama wamepigwa na radi,smutha imebidi kuwachapa mijeledi,serikali,imejaa magaidi hebu cheki wanavyoiba daily kura, mali zote mitaani washazipora, hawajengi Barabara, imagine mpaka sasa kwenye bunge wanalala, Yeah noma hebu cheki vile mandera watu wanavyo die, huku majeshi na polisi mafisi wako kambini wanakunywa pombe nachai, hawajali magaidi wanavyo tenda ugaidi huku wanajidai ,prezo mayne can you tell us Why mbona mnyonge hafai? maskini akikosa tajiri unawezaje kufurai, , kumbuka No Man is limited siuongo Am happy coz Am I gifted, i believe in God ndo mana nikianguka am lifted again and again No Pain kama kawa No gain, kua rapa sio lazima ukavute coccaine mayne that's fucked up shyet afadhali hata kangara sep tukataeni Sera za kizungu zinatupotosha
You may also like

Leave a comment
See track description ↑