blessed

0:00
0:00
blessed

mawazo million kichwani, nivipi mama nyumbani, atawini maishani , mungu niepushe na mitihani, najitahidi kila siku angalau nikubalike kwa jamii, sikusoma sana vile kazi yangu usanii, mwenyezi nakuomba unabariki, niepushe na marafiki wanafiki, hawapendi kuona mambo yangu yanatiki, nilinde madui wasinidhuru,safisha akili yangu niwe huru, nipe hekma kila jambo nisadie, maadui wasiniibie, wala wasinikaribie, shetani asiniharibie, kwa umbali waniangalie, sifa zote ni kwako Allah nikikosa unanipa msamaaa, kwenye Giza we ndo taa, unangaa plus umeifanya nyota yangu kungaa, nimeshabadilika siendagi tena kwa bar, niondolee magonjwa yote na njaa, iondoe huzuni moyoni nishukishie furaaa, Mungu wee ndo mpaji, shetani anaweka grudge nisipate nisingae nisikae kama upendavyo but haiwezekani, macho yashafunguka naona baraka tele zikimiminika ukiinita nitaika utakavyo nitafanya nitafuata, amin

2 Comments

Leave a comment

Author
7 years ago

See track description ↑

2 years ago

I'm feeling this ❤️

User avatar
1.92k
Total plays
180
Followers
168
Following

You may also like