wasanii
yes ni smutha kwenye mic kaa kando, siku zote, mtaka pesa hachagui kazi,kachaa nishachoma mpaka charcoal, subira huvuta heri niko on another level, naeza kua mkonde but mifuko zimenona,its tru nimepitia mengi nimetembea kwingi ajabu rapa Kama Mimi sijaona, nimejifunza mengi mwanangu nimesoma, Maisha ustaarabu babu, kwa kila baya utendalo usisahau kuna adhabu, binadamu hawana wema, ndugu yako tumbo moja Msaada anaeza akakunyima, but usikonde Bro shukuru mola kwa uzima, mungu akisema yes Hakuna wakusema no, nacount blessings mitaa washakubali me ndo king👑 ,in short am the father we ndo mama yao,hakuna real mcees maze sioni uzuri wao, wanajiita kaka sioni, undugu,wao chuki kibao midomoni mpaka mioyoni Mwao, kama true soldier namove kimya kimya, hala maniga kimya, niko na uhuru wa mawazo mazee siezi kaa kimya,ama genius mimi sio Kama wao nawaza future wanawaza nyapu, wanapotea wakati wako na map,niite smuthstar aka obama wa rap wanayap yap sana ujinga kwa wimbo zao,wanakunja sura sana wakiniskia kwenye radio zao, smutha jina kubwa kacheki kwenye mtandao, mpaka madem wao wanataka nizae nao, hahaha marapa 2 jina Hawana faida Kamshufna zungusha Shada, Leta michongo zenye faida Busle mpaka tabaka wananifagilia, ukiniona ita polisi ama kimbia, kwangu lazima utakunja mkia me ndo kidume cha mbegu, babayao
You may also like

Leave a comment
See track description ↑