free style
Hakuna mtu hupenda kua broke niga, Hakuna mtuu anapenda kukaa na broke Nigas, ukiwa broke niga hio ni joke Niga ,ukiwa bila pesa huwezi sikizwa utafukuzwa, huskii hata mdogo wako atakudharau atakuupuuza, Maisha sio kucheza braza, Maisha kujikaza usichoke kutafuta pia siku yako itafika pia utapata, mgagaa na upwa hali wali mkavu, tuwacheni mambo na Sera za kipumbavu, Fanya ukipendacho ukiweza kua comedian chekesha vunja watu mbavu ,nilianza na step mbili na nilipo fika mbali, usikae tuu baze kwa mtaa ukivuta bangi, Fanya kile unaweza maze upate shillingi, usifanye kitu 2sababu watu wanafanya,pia usifanye zile vitu mzazi wako alikukanya, penda ukweli daima Niga usije jidanganya, save mkwanja ukiwa Kijana usije hanya hanya ,mafanikio nikama ngazi wala sio njia za panya, nafasi huja Mara moja tuu, wakati huenda mbele haungoji mtu, bila kitu mfukoni we Sio mtu, ukiishi kwa mtutu utakufa kwa mtutu, kila kitu na wakati wake, kuna mchana na usiku, pia jua na mvua, Mungu ndo mpaji mazee kaa ukijua, mamc hapa mmetua, Smuthstar balaa kila mwezi niko tour,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑