i hate you

0:00
0:00
i hate you

🌷 tulikutana Kama utani huskii baada ya Dyna kunitesa nilipata uchungu upweke moyoni,kwa kuwa alikua mzuri hips na thighs zake zikanitia majaribunii,akanipa hopes mingi akawasha tena moto wa mapenzii,moyoni nikasahau matengo hapo Nyumba alinitesa na mambo ya mapenzi, sex ikawa kila lisaa tukanyonyana mpaka usaa,kazini nikawa siendi, tulipitia drama mingi na kwakua penzi sio msosi ikabidi nimitikasai kasi ya kusaka hela, smutha me huyo kisela mpaka ndani ya Mandera nikaiweka bendera kwa msingi ulio imara, mungu akanipa kazi huskii ikanipa hela, na bila Shaka nikaona muda umefika wa kukuoa ,nilikumbuka Shida zote tulizopitia na wala sikua nasita baby vijipesa kukutumia, nilifanya kila kitu kuona kwamba unafuralia, wala haikuniingia akilini kuna siku utakimbia, nilikujulisha paka kwa familia, mama akanipa baraka mandugu marafiki walifurahia, kumbe nisichojua we Bongee la changudoa, asante ya punda mateke kweli leo nimeshuhudia, wakati niko kazini nyumbani kwangu unapanua miguu yako mnazini, daamn. sikutakii teenaa me nimekataa, hukunipenda mbona me ninashangaa

1 Comments

Leave a comment

Author
7 years ago

See track description ↑

User avatar
1.92k
Total plays
180
Followers
168
Following

You may also like