rapstar

0:00
0:00
rapstar

i was born a rapstar kutoka geto mwakingali ushanisoma, Vina mistari kibao feck mcees watanikoma, hii talanta huwezi afford hata ukisoma,mistari yangu ni deep huezi catch up ata ukichoma ambia Promoter atanikanjaa Doo kabla ya show, sinaga sifa za kibisho hapa nikazi bro, yeah am lyrically iller line ni tatu sidungagi fila, kwenye mic me ni killer, smutha jina biggy Godzilla, smutha roho safi mayne sinaga ukabila, dem wangu siku hizi pesa bro siezi kaa bila, hastalar vistar, Siku hizi tuna visa, click yangu Nokoment bado tunawakilisha, nishazoea pesa haziwezi nibadilisha, sioni wakunitisha, rap game na Mimi Maisha, na do it for the love mafans wangu wote siwezi kuwalipisha

1 Comments

Leave a comment

Author
7 years ago

See track description

User avatar
1.87k
Total plays
180
Followers
168
Following

You may also like