Niite Shiftah
Niite Shiftah niite Shiftah Niite Shiftah Me ndo king kwa hizi Streets Nasababisha,Nawakilisha Navurumisha Me ndo kichaa wa hizi beats Me ni kichaa kutoka kale/ Punchlines zko hard kushinda mawe za kware/ Mc wacha ukware/ Kiherere utaeka pale/ Me ndo Generale/ Mambo yangu ni hatare/ Am the baddest niggah/ Hutaniona nikiiga/ We ndo unacoppy pest ju unashingo ndefu ka ya twiga/ Don't try this camp/ Usikubali ukue samp/ Me ni ngori me ni champ/ We c masai huezi jump/ Naeza kupump ka Lil/ Nikusukume ka toroli/ Buda cheza mbali/ Hizi mashairi ni hatari. Hii ni Extravaganza/ Nakariri hizi stanza/ Nangatuka nyatunyatu ka mkwaka kwenye kiti/ Naipaza yangu sauti/ Hadi walo ona mauti/ Wa amke wagutuke na hino beat/ Ipo wima Hip hop hasa kwa zake vizingiti/ Siku zote nko fit/ Ninakwenda ki aina hii/ Na Heng na kubeng kistyle hii/ Usiniite Nabii/ Cjui kutabiri wadhii/ Natema hizi madini/ Nko macho ka rubani/ Nimeshika usukani/ Usijali ukiwa nami/ Me ndo kichaa homie/ Ka imekubamba rap along me.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑