SINA MWINGINE
0:00
0:00
Juwa nakupenda sina Mwingine kando yako Kila mara napo kuona Yani wanipagawisha Urembo wako wanimaliza Hata nashindwa kujielewa Ila nashindwa mbona wanitilia Kimya hivo mpenzi Nakupenda kutoka moyoni Bali si utani nakufanyia Napa sitokutenda Bali nitakupenda Mtima nitauridhisha mii Sina mwingine Niwee ni wewe tu Wengine sitaki Niwee ni wewe tu Eti kipenzi changu Niwee ni wewe tu Nakupenda sana X2 Njoo Songea karibu nami Kifuani nikutulize Nikutunze ka wangu mwana Nikubembeleze Chozi lako nilifute Raha nikupe Sababu najihisi nikiona Lako tabasamu Sielewi mbona uko Mbali nami ila Nataka ujuwe nakupenda
You may also like

Leave a comment
See track description ↑