Athu De Belloh- Salma
0:00
0:00
your baby mama eyo salma... amini bila wewe akyanani nitakwama.../ sina cha kusema...maana umenteka akili.../ juu yako sifikiri kwa jamii sititiri.../ nakuwa strong, among niggars.../ najifili don mngoni nazifil shida hizi../ ukiwa karibu furaha.../ karaha mbali najitenga na balaaa na najihisi me ndo superstar.../ unanipa furaha pale nakosa.../ umenigeuza mbwa harufu yako tu nanusa.../ hapa ninachosubiri tu ni hiyo ruksa.../ uniruhusu nikuoe ili deile niwe nagusa.../ nipe vyote me sitasusa.../ nikupe vyangu hadi kambale kwa boxer.../ unipende bila kuchoka ..../ tucheze kabumbu kitandani a.k.a sokaa.../ ME NAWE MPAKA KUFAA EEEH OOOH PENZI LISIPATE UFAA OOOH EEEH ×2
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Hard 👊