Nakupenda
0:00
0:00
Juwa ni wewe tu napenda Sina mwingine kando nawe Kumbuka nimeona wengi Lakini ni wewe tu nimelenga Nahidi kukutunza Niwe nawe milele Oooh baibe nataka nikulee Kama mtoto mchanga Sitaki kukuacha moyo utaumia Unafanya najihisi ni ka nimepagawa
You may also like

Leave a comment
See track description ↑