Athu Belloh

SIPENDII

Athu Belloh
SIPENDII

18 Plays

19 Mar 2019

Nipo Unyama Na Sipendi bukta.../ Sipendi Mwisho ndo maana Siweki Nukta../ Stend mwisho njiani siachi tuta.../ Sipendi ukavu ndo maana siachi futa.../ Sipigi photo maana sipati picha.../ Sipendi kilimo ndo maana sipandi guta../ Sichezei uhai maana sipendi kufa.../ Sipendi ukuta ndo maana siwazi ufa.../ Sitaki mitihani, sitaki sifuri../ Sitaki sifa na ndo maana simpendi dully../ Sikati miuno sipati dili.../ Sipendi vificho ndo maana sihitaji siri.../ Sipendi shoo eti sipendi Panda.../ Siombi poo maana sipendi Shindwa.../ Sipendi nyama maana sipendi chinja.../ Simjui mama ndo maana siwezi pinga.../ SIPENDI SIPENDI SIPENDI Sipendi Ujinga na sipendi shule.../ Sipendi kuringa maana sipendi bure.../ Nakaza moyo sipindishi kule../ Siyo mchoyo japo sipendi ule.../ Matatizo ya kifua sibani pua.../ Sipendi kosolewa maana nafanya sure.../ Sipendi unafiki maana najua.../ sipendi marafiki maana nawajua.../ Wanaboa hasa hawa uchwara.../ kichwa kibaya ndo maana sipendi para.../ Napenda hela na sipendi hasara.../ Sipendi shoo mbovu ndo maana sipend papara.../ Sipendi nsichokipenda.../ Sijengi chovu sipendi tendwa.../

1 Comments

Leave a comment

6 years ago

You may also like