Athu Belloh

Piano_03-18

Athu Belloh
Piano_03-18

21 Plays

14 Mar 2019

Wanaisema Kweli Kweli Isiyopingika.../ Wanaidhorotesha Kwel Ila Kweli Haitojificha.../ Wanaamini Kwamba Mkubwa Hakuupitia utoto.../ Kamwe Hauwezi Kuiva fikra na Ubongo Haupat moto..../ Matatizo Ndo Njia Na Kuithamini Shilingi.../ Amini Hauwez Kuwa Kigezo ka Uwezo Unao Dingi.../ wanaokuona famba, watanyut Ukifanikiwa.../ na Wakuonao boya Ipo Siku Watakusifia kimtazamo Ukubwa ni Tuzo Ya Ukuaji..../ ila kiuhalisia ukubwa Ni funzo Mzazi.../ Omba Uzaliwe Ukiwa MnzaziBar .../ Kuliko ukubwani ugeuka Mzazi Bar.../ Pambana deile uibuke Na Kimfuko Cha Riziki.../ pambana Jina Lisishuke upatee shabiki.. / Strugle Hard , Jipambanue Kikazi.../ Kaza Msuli Wa Ubongo Maisha Hayaita Kichwa cha panzi.../ Wachache Wetu Uishi Nje Ya Uhalisia.../ Japo Nashukuru wengi Wetu tunaishi Ndani Ya hisia.../ Sometimes Nashukuru kwa Picha Ninayoiishi.../ Maana kuna picha nuingine Kichefuchefu Tapishi.../

1 Comments

Leave a comment

6 years ago

You may also like