ogamoto

0:00
0:00
ogamoto

ogamoto ogamoto upate pesa ogamoto ogamoto fire ×2 kweny kuhaso manyanyaso yapo ooh mateso na vibwanga vipooh hvo usivunjike moyooo usipende kusema nimerogwa rogwa hzo n kauli za kishoga shoga we simama imara we kaza na kamba nga nga nga yeahhh pesahazihitaj mtu mjinga mjinga changamoto kidog ukadevera yeaaaah yeeeaah pesa utaziskia kwa mo na bakhresa ×2 ogamoto ogamoto upate pesa ogamoto ogamoto fire ×2

1 Comments

Leave a comment

See track description ↑

User avatar
74
Total plays
31
Followers
68
Following

You may also like