ndo maisha yanaanza sija nunua hata kiwanja

0:00
0:00
ndo maisha yanaanza sija nunua hata kiwanja

ndo maisha yanaanza sija nunua hata kiwanja mlo mara moja na nyumba ni ya kipanga sijalivuka daraja wala simtukani mamba nawaacha waniongee kwani si wenyewe wanapanga cha mhimu ninachojua namtegemea muumba hajawai kuniacha siku zote hunikinga siku zote mi na ye ni kama ndege na kinda okay unaweza ukamtegemea adam akakwambia ya binamu,alivyokosa nidhamu akaikana paka damu usimpende sana shemu utamuona mtamu ukajikuta mlamu ilhali mna fomu tuikule gizani ,hadharani wataona alaf tumia miwni

1 Comments

Leave a comment

Author
3 days ago

See track description ↑

User avatar
84
Total plays
22
Followers
14
Following

You may also like