chumvi ongezea upate flavour
0:00
0:00
chumvi ongezea upate flavour, nikilost nitafute tena ikiloose naifunga tena wewe leta tenure nitengenezee doh ocha kuna kuni tunatenya wasipokupenda watakusengenya boma simbaaa nilijenga tunakunywa uji mchare bila fom unaboeka mchana kuosha na menya food tamu napenda kutoka ingo shivambala shibetetia miro na msheveve mkhombero inasafisha Mwana wa ingo ingo ingo makuva manyishi sipendi mgeni karibu home chai na birika usiende bila mapera mob Stori zako zinababa kwa ile ya kayamba napenda mguu tupu nikitembea ngombe nikikamua rafiki tukiongea kwa jirani nikipotea sherehe tukihudhuria ya mwana ingo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑