kitambo on this time is now

0:00
0:00
kitambo on this time is now

kitambo on this time is now no fear again to live or to die longtime ndio nlikuwaga kinda nyau now a juu kama eagle na fly i am going next level now haters bye bye waambie wasinitishie Giza star pakaza ubaya still i am so high hasira ni kusaka chapaa,maana kuawa chini ni balaa kosa pesa jamaa ni Mungu pekee hato kukataa haichagui tumbo njaa una ela huna ela linaunguruma ikifika saa acha ni fosi jamaa baada ya losi mikosi kwa juhudi binafsi hadi niwe bosi ingawa wanadis siachi mitikasi hata bila pasi ndio magoli ya bless Mungu tafanya wepesi 👿 never give up bado money nachase bado na push ninmetumwa cash kwa kumi na nane kama messi sichekeshi mwanaume mashine on work iwe inanyesha au hainyeshi i living once full confidence life is not drama sitest time is now kuwa show local international hip-hop President calture kama migos quavo take off,offset no messy i need cash bitch success ndio ndio nimetumwa uyox rich bila Mungu nsingekuwa hai true story wanajua mawitch nawachana na ukali sio promo wala kiki bila kulala wala masihara hatuchezei kazi wala mshahara now nipo imara tayari kuwala simba tembo mbuzi chui hata swala fek rapper's ia mserious on this acha tu iwe msala

2 Comments

Leave a comment

Author
8 days ago

See track description ↑

8 days ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
10.52k
Total plays
555
Followers
86
Following

You may also like