Nimetulia ndani ya keja najibabamba na mamemes althe best arif alinishow anatravel for gig
Nimetulia ndani ya keja najibabamba na mamemes althe best arif alinishow anatravel for gig niko busy kuperuzz story za magari na wanasiasa mneti kuna msee flani nacheki kuna msee anatafuta my attention mbaya ati vitu flani toka kwa mi msee zinampatia addiction inabaki nijitoe bundle ilikua one hour na kuna vile kamezoza kwa mind kuna thoughts flani zimeeva zikaoza nimejipata nimezubaa mbaka naaza kujishow woza rada gani food ya jana ndio namalizia leo nikipanga kupika ingine super nachemsha maji ya kuoga juu haka kabaridi kameniingisha woga nakumbuka toja flani napenda natafuta na sipati kumbe nilisahau kwa mother arif flani ananidungia tenje toka kejani kuna fom rada safi nilijipiga kishower nikudunga mandula kuchomoka kumbe ni concert ya doba nakapata wasee wanazitoka arif kunipeleka na mtara too late "ati hii consert ni yako ,doba zako ndio wanataka kujinice nazo leo" nikoshoked nameditate kiasi nikijiuliza nimejulikana vipi juu napenda doba nimepanda stage sema wasee kubambika sema dj kucheza kama yeye mr oliel bana walibeat wakabeat loud voice bila attention forever utaremain kua mtoi vuka mto hii feeling ya kucheat si ati anakupenda mpaka wako naive wako na spirit ya adam na eve
You may also like

Leave a comment
See track description ↑