Oya morio si unatambua , majaji tunadai kwa street

0:00
0:00
Oya morio si unatambua , majaji tunadai kwa street

Oya morio si unatambua , majaji tunadai kwa street wenye Wanatufaa ata kwa dhiki, si wale wanajiita mafisi kila time sura zao zenye chuki,....aaah morio si unatambua , majaji tunadai kwa street Wanatufaa ata kwa dhiki, si wale wanajiita team mafisi kila time sura za chuki, Nikidrop nipe lift, Usinikane gee we sio heter, we morio gee tumezoeana , kwanza tukimedi medi gee Usinikute poa, Usinimind gee kwanza Upendi tukishine , we ni fala Tukiface danger, we unatoka siaka Niko uchi juu naogopa kikulacho, bana Ninamede sna , niondoe maswala Me napenda ngwai, aki nyasae ngai uyo dem anacheat, anajifanyanga shy pende penda sana, utadedi sahii akuna rafiki Zaidi ya mungu walai Uwezi nihertbreack, roho yakihardcore Mi ndoo nyani joo, ziez kupa roho Mrembo tingiza , hizo matako manxuad Mnyama, Nicheki kwa jicho kijana jamo toka East, fanya rap fill fity Nauliza cool kid, wapi bana school fees Am a super star, From Africa Na kama unakataa , epu tokeza Check status.... kila day tumeweza, akuna uvivu leta , chakula kwa meza Kaa kawa yut unadigi , chenye namaanisha akuna mfuba ngumu, mbele ya panga Toka pande hizi pana, atutambui ata noma uchana Moshi pana, Usinifwate nitakuzama kula vyako sana sana , ukitaka changu koma Fully wanana wasela, tulia epuka bana 💯jela Sisi

1 Comments

Leave a comment

Author
11 days ago

we need helpful friends on street 🫵🐶💯

1
User avatar
425
Total plays
63
Followers
78
Following

You may also like