Given back back

0:00
0:00
Given back back

Given back back niliobserve a lot nikiwa chini kunao napenda maskini akikosa aminiusiamini wamtenga waliomochukua ndio wengi wataema walimpenda nakumbuka nafasi kwa moyo ndogo adui rafiki sherehe,anajimba najibebea jeneza yangu mwenyenwe n Given back to back siati nikona kiburi siwezi jinyima nikupatie haki mi sikujui mi najinice na wasee tulikua pamoja on the dark days ndio time zetu zimewasili nikurudushia akili shukrani hata tukirudi chini tutarudi pamoja na mbogi ya kujiamini we trash , na story zetu hukua unadai tukikula ugali bila mboga , fake family kula kiburi kula madharau

1 Comments

Leave a comment

Author
16 days ago

See track description ↑

User avatar
2.84k
Total plays
517
Followers
1
Following

You may also like