My generations on my grave , waking wishing guks angekua alive , books flani aliwachia ni so real , legacy ya the great
My generations on my grave , waking wishing guks angekua alive , books flani aliwachia ni so real , legacy ya the greatest king , hakuna kujitoa kama wasee wangu sijaokoa nikona wife na ako na wifi kila day nastay connected napenda food flani ye hunipakulia all night all day pillar nikobeyond my time huko juu nimewashikilia machozi mingi na siyakulia namaliza food hakuna ya kunikulia ni reality watu wa imaginations , king wao in the sky mine right infront of my eyes shamba iko, na itawafeed for billion years niliwacha kuhisi kizunguzungu kajikubali mwafrika wa Africa nanukia fiti na sija jicolonize nataget profit every year but next year na aim higher kaa ni biz napiga bila haya niko satisfied na alot hadi hii point but doh ndio inafanyanga nitoke home sad news ndio amewaletea Furaha za sacrificial lamb sacrificial lamb kulikua na path flani na harufu nahisi niya ganji route one two nipitie gani mafisi kutumia path mbili ndio wasichoke,sikuwaona tena shoke walipasuka msamba side hii si ati wasee hujibamba ni ujitume na ujiheshimu ama tukuite marehemu tukikuvalisha pamba.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑