Connections za kutoka block

0:00
0:00
Connections za kutoka block

Connections za kutoka block kwa phone yako niko black list juu nlikua nakumbua na story za doh kitambo hata mi nilikublack list kwa heart Sikatai nilikua nakushow nakupenda but skuizi nimekublacklist kwa mind yule dem uliona unworthy ye ndio akofront right si kwa pathway,anajidrive tukitokablock nilitoka three months na bado wangangana na wasee wakuyap bado wakipingana na wasee wa muscles bado wakipigana connection za kutoka block baraka zote mi ndo nilipatiwa wacha kuzitafuta na jasho sijatoka mboka na bado najipiga kipasport nilifundishangwa nao na bado naenda kuwafundishia kwao achana na mimi sai hayuko kwao napush my dreams ka body builder na machuma naskuma on dry days ka comrade na skuma nawakalisha kama weak joints nawafurisha kama balloon ikona hewa nawachekesha ka content za heha

1 Comments

Leave a comment

Author
23 days ago

See track description ↑

User avatar
2.84k
Total plays
517
Followers
1
Following

You may also like