Hii kitabu nilipata ,nikafungua before niingie darasa
Hii kitabu nilipata ,nikafungua before niingie darasa picha ilikua inanivutia kwa umbali kusonga karibu kumbe hali si hali nimbali nafaa kugoo but nomeogeza speed na gari bado inaenda slow abiria imbo hawanotice hii ngori zao kujibambamba na mastory chapters after chapters wanaabudu ,mfame binadamu nashare nao damu hii niyangu zamu ya kurejesha tabasamu after chapters after chapters walitumiwa kama watumwa chapters after chapters naadika barua kwanza nikisema sorry mlidanganywa tena sana hamkua na kitu ya kufanya waliwageuza mafala wakaawacha bongo lala wakawaka tesa tena sana chapters after chapters nilisoma hizi story ikanitoa machozi alama za hio ngozi na sai wameweka alama kwa heart , Ingia mtaani utapata waasee wanalala njaa na shamba nyumbani zimejaa chapters after chapters wanaturegesha kua beggers ,kupanishiwa kua na family,kupunishiwa kupenda chapters after chapter wakoloni wanapewa sifa sana tunatoka life tunawaacha wakijibamba na si tukijigamba
You may also like

Leave a comment
See track description ↑